Pages

Ads 468x60px

Sunday, April 26, 2015

MAMA WAWILI.................


Mama wawili nae yumo eti eeh??? kwa maana nyingine amebarikiwa ha!ha!ha! eeh! nikingoja kusifiwa mbona ntasubiri sanaaa kwi!kwi!kwi!


 Panaponivutia zaidi sana ni hapa aisee........ Kiatu nimekitoa duka mchanganyiko a.k.a hakuna jina halafu ndo kilikuwa hicho hicho ha!ha!ha! ila uso sasa nakuwa mvivu kidogo kushare kwa sababu wadau wengi hamuwezi kunisapoti  wanaoweza kunisapoti ni wale walio Australia,Uk,USA,Newzland na Canada  ambao wengi wao nakutana nao huku huku au vijiwe vingine ha!ha!ha! ila najiandaa kuja kushare na nyie ilikuwaje nikaingia humu yaani, nini kilinivuti nje tuu na nakuamua kujiingiza mzima mzima kuuza, nawezaje kuuza urembo huku 5/7 mwanamke ni full kushika tope a.k.a kuosha magari na mengineyo mengi .......... otherwise aisee  hizo kope ni no fake zone  ni kope zako mwenye we unazivuta na mascara  kitu natural hakiongopi............ foundation na mazaga zaga yote bwana nyie hamjaanza kunijua leo sio eti eeh?? ee bwana nyie si ndio mlikuwa mnanipiga madogo yaani nimebarikiwa kote kote ila ze face mlikuwa na mashaka??/ha!ha!ha! yaani lazima mkubali hizi products za kitofauti.......... haya ingiine humu kwa wale ambao mko hizo nchi fanyakunisapoti na wewe ujaribu  hautajuta............na wengine ingieni tuu kushangaa  mtanielewa  www.youniqueproducts.com/beyourose msisahau kulike my facebook page Younique by rose  senkyuuuuuuu sekyuuu sekyuuuu sanaaaa



Muonekano mzima.

nimewambia my facebook friends kwamba no matter where i fall he always pick me up again yaani i am covered by his grace hata shetani anajua huko aliko..............nimeaamka na hilo neno sijui kwa nini?? but hey wadau wangu God is good yaani......... all you need is, not to be somebody else but youself

Nawapenda


1 comments: