Pages

Ads 468x60px

Monday, April 13, 2015

SISI HAPA..............................................

Wandugu moja ya ndotoyangu moja mwaka  huu kuingia ndani ya hili kanisa........ Duu atmosphere iliyopo humo ndani mbona sikutaka kutoka kabisa aisee...........

 haya mapicha hayo

hiyo picha niliomba ilazimishwe nipate hiyo view yaani  chezea kumbukumbu........


la familia
 mwingine yupo nyuma ya Camera ha!ha!ha!

roho za Mama wawili

Dada mkubwa

Dada mdogo (ignore keep clear thing you know ushamba mzigo ha!ha!ha!)


mashindano ya mapozi yakaanza
 mshindi ni????


ha!ha!ha! jaji nimeshindwa nawaachia wadau


Tunawapenda

No comments:

Post a Comment