Pages

Ads 468x60px

Monday, April 15, 2013

VACATION...... FLOATING MARKET


pata kipande cha muonekano nilipojificha....
safari imeanza
only 4 of us in our  water way........
us......thanks Mr & Mrs Mjema ...... feels so good to have you always
Baba na Mama wawili. tulikuwa tukitaka kushuka dereva anasimamisha nakutusubiri tuendelee na safari
mama wawili nikishangaa coconut sugar
view yamajini tunakotembea na maduka  yaliopo pembeni
wadada wanajua biashara hao duuuu!!!! ukisimama tu lazima utajikuta umenunua halafu bei zenyewe zakitalii mnoo

haya mengine yalinishinda mtu anachezeaje huyo nyoka mmhh!!!
humu sasa tulijua wanauza vinyago ile kutaka kuingia tuu tukaambiwa tunatakiwa kuvua viatu mmmhhhh!!! kumbe ni  Miungu wa watu we sikuingia niligeuzaje faster.....imani za watu bwana
tukashushwa hapa unajua kulikoni??????
bwawani na mama wawili busy nalisha samaki
samaki hao walikotoka kufuata chakula
hapo chacha!!!
juu yamgongo wa tembo......
BFF'S

HAPPY US
TEMBO ALIVYOINGIA MAJINI BAADA YAKUTUZUNGUSHA NCHI KAVU 
akili ilinihama hapo sikujielewa nilitamani nijirusheeee nakutana na maji kuogelea siwezi weeeee!!!!
tumetoka salama kwenye mgongo waTembo it was fun  

muke ya Slay
tukapelekwa monkey village
kamonkey kanaheshima jamani duuu
humu ndani monkey alitutumbuiza mara kacheza basket ball,kaogelea,kaja kutuomba hela, katuuzia sabuni,karuka kamba, kacheza na mengineyo meeengi
nikiripoti kutoka Bangkok mambo nimengi nimeshindwa kupost yote its all about fun

1 comments:

  1. mwanamke malezi na matunzo...uliinjoy sana mdada mumeo anajua kukutunza toto la kinyalu

    ReplyDelete