Pages

Ads 468x60px

Friday, April 24, 2015

NIKUMBUSHE WEMA WAKO........................


Nimejikuta namsikiliza huyu Dada, aisee kuna kitu cha tofauti ndani yake Bwana anataka kukitoa kupitia yeye........... Simjui ila maombi yangu aendelee kuichuchumilia taji aliyopewa. Sio kila mtu anacho alichonacho duuu!! 

Sikiliza na mwenzangu km bado hujakutana na huu wimbo.......


No comments:

Post a Comment