Pages

Ads 468x60px

Wednesday, April 15, 2015

YANAYOENDELEA.................................



Nani hawa eti????


 Lafamilia

 humu ndani leo ndo tulikuwa tunashangaa

the view


 ila bwana nimegundua si tunasifa sana yaani........ tukiona watu wanatushangaa ndo tunaletaje ukatuni ki!ki!ki!

yakufanya yalikuwa mengi mnoo humu ndani

 nayakushangaa ndo balaa simmeona wenyewe wakulima utawajua tuu ha!ha!ha!

wakatuona na mkamera wetu mkubwaaa wenyewe wakatuita ha!ha!ha!


Mabinti wa Slay

Hapa tulikuwa tayari tumehama kiwanja ndo tukakuta na hili......
In their own world.........
 Tunawapenda

3 comments:

  1. Nawapenda sana! happy family mmependeza

    ReplyDelete
  2. Hadi raha...you both look happy.


    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  3. Picha ya mwisho penda sana

    ReplyDelete