Pages

Ads 468x60px

Thursday, April 16, 2015

ANOTHER DAY.......................

Leo tulipita kushangaa maduka ki!ki!ki!ki! kuna watu kwenye hili eneo huwa nawachoshaje????  washanizoea lakini........
halafu leo km tuko sare sare vile au???

mtu nne............. Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya unne huu......


 Mutu na binti yake

oh! dear...................Sifa na utukufu umrudie yeye aliye juuuuu


vione kwanza.......
na binti yake mdogo......



hawa hapa roho zangu mie jamani!!! Mungu wangu anitunzie tuzeeke pamoja tuone na vizazi vya nne...........


haya navifurushi vyetu  tumeshindwa kuvumilia tulivyokutana navyo imetubidi tuvuruge tuu bajeti ya holiday ha!ha!ha!

Tunawapenda

2 comments:

  1. mmepndza jmn, smhn kwausumbufu Rose n wadau jmn naombeni mnisaidie kuomba kw pamoja nina tatizo sehemu z siri yan nimehangaika kw madr wawanawke lakin wap napewa dawa lkn cponi yn wanasema uke una bakteria ambao husababshwa n chooo ugonjwa huuu huwasha n kutoka tumaji tunako nuka jmn sasahv ctk tena hosptl coz cponi naiman ninae baba yngu baba w Yatima ataniponya n ntasahau ninawaomba mnisaidie kusali iman ninayo kuwa baba w yatima ataniponya rose dear ukiwa unasali nkumbuke mpenz n wengneo mnikumbuke n baba w yatima hatawaaacha mlivyo mtabarikiwa muno asanten polen maneno mengi

    ReplyDelete
  2. Hilo shati mamito ninalo nilinunua Zara...na una kiatu Fulani hivi cha orange sasa nime conclude ni kama change maana pia nilinunua Zara...

    Nimeshindwa kupiga kimya kimya sababu nimefurahi kuwa tuna same taste...

    By the way I love your family and your way of life...classy

    Mama wawili mwenzio...ila wangu midume...

    ReplyDelete