Pages

Ads 468x60px

Sunday, April 14, 2013

KNOCK KNOCK BANGKOK........

HERE I AM...........JUST FOR FEW DAYS 
Habari ya ile ticket niliokabidhiwa siku ya my 5th Anniversary



nimechokaje???? long trip

mama wawili
mnyama mnyama chezea mimi  mpaka bag hahahahaaaa
checking in......ila jamani kwa dakika chache nilizokuwa hapa nimeshajifunza kitu hawa wenzetu ni wakarimu mnoooooooo.....
tumekuja kujinoa kwi kwi kwi ndio kwanza tunaanza 5years is just a number....... NA MUNGU ATUSAIDIE

2 comments:

  1. kuna wanawake Mnabahati ! Mshukuruni Mungu sana Wengine tunaishia kuumizwa kila siku no ndoa no nini mpaka unawaza uzae tu , kitu ambacho nakichukia sana Mungu nisaidie ..Nimetoa hisia zangu tu ..

    ReplyDelete
  2. Wooow hongera sana Rose...duh natamani ningeipata hiyo bahati ahahahahaha.
    Mungu awalinde jamani mzidi kupendana...Enjoy to the fullest my darling na umependeza mwaya!!


    Mdau-Musoma

    ReplyDelete