Pages

Ads 468x60px

Thursday, April 18, 2013

VACATION: DINNER CRUISE


happy mama wawili
muke na mume
us
domo hilo mwanamke navyojua kuupepeta lol!
bonding
uswazi.com siku ya pili ya vacation  nilitakiwa kuja kula dinner kwenye hii boat, everything was paid sasa basi sinikawa nashangaa magorofa mjini...... nimekuja kuchukuliwa sipo hotelini na hakuna means yakunipata nakuja kustuka too late and no refund hahahaaa!!! nilimindije.....nilijua masaa yetu yakiswahili imekula kwangu...
ukifika tu unabandikwa hilo ua
inasubiri waheshimiwa tuingie hahahaaaa!
tukutane pale juu kabisa
unavyoingia kwenye boat unakutana na hawa wanakukaribisha
we r here
hawa nao walitutumbuiza
band ilitutumbuiza
the view

5 comments:

  1. Mama wawili umependeza saaaanaaaa, hao wanaosema umekomaa kina waumaje sasa ahahahahaha.

    Kula raha mwaya.


    Mdau-Musoma

    ReplyDelete
  2. mmependezajee jamani kwa raha zenu mlokole paja nje nje hapo chacha patamu hapo

    ReplyDelete
  3. umependeza shost,ila shughulika na kikwapa, pia mabega wazi nahisi hazikufai au fanyia mazoezi upper part ya mikono yako,kama imekomaa fulani hv.Kiroho safisina chuki enjoy ya vacation(si lazma uirushe uwape faida watu ni yako binafsi hii), wengi huwa hatujijui na kila mtu anasehemu ya mwili haiko sawa machoni pa wengine au kwa lugha rahisi kawaida, but what is kawaida ndio tatizo, na mwanaume mara nyingi hasemi, kifashionista usichukulie poa tu

    ReplyDelete
  4. hahahaaa,lol kwa kujicomentia sasa, anaeumia na kukomaa kwako kakoment muda huohuo ukamjibu hata kabla wadau hawajasoma comment yake, yaani kabla hujaiweka hewani wakaijibu we mkareeee siku nyingine uwe mjanja,lol

    ReplyDelete
  5. MMh ??what abt kwapa lake?wabongo mnamind vitu vidogo,never thought of it..Umependeza mama careene,i love the kigauni na viatu vizurijee

    ReplyDelete