Pages

Ads 468x60px

Sunday, April 7, 2013

GUESS WHAT?????

IT'S OUR 5TH ANNIVERSARY

Slay and I have been married for 5 whole years already!!! Am so excited about this anniversary year for us.......... meeeeiiin!!!
 YES I STILL DO..............

nakumbuka kabla ya miaka yangu ya ndoa, hofu na mashaka niliyokuwa nayo ni jinsi gani ningeweza kuingia katika ulimwengu wa ndoa???? kwa jinsi nilivyozungukwa na ndoa nyingi zenye matatizo na hata watu walivyoweza kuniogopesha kuniambia marrige life is so hard..........really???? of course YES, ups and down zipo lakini sio kivile km nilivyokuwa nimejazwa kiasi kwamba, eti ningefuata uamuzi ule  wakutoolewa aiiiiseeeeee!!! sijui ingekuwaje????ningejutajeee???? out of 100% ya hofu ya mambo niliyoambiwa yatatokea within 5 years of my marrige kiukweli labda 0.5% ndio yaliyonitokea nayo yana sababu za msingi ikiwa ni pamoja na ile hofu niliyoingia nayo kwenye ndoa, ilichangia kwa kiasi kikubwa sana...............kama ujuavyo wanasema ukikaa mkao wa kula hata harufu tu ukisikia unajianda unajua chakula kipo mezani kumbe upepo tu umepita, chakula hata motoni hakiwekwa kwi! kwi! kwi! kwi! kwa maana nyingine unavyoingia kwenye ulimwengu huu amini umeingia wewe kama wewe,usijifananishe na mtu yeyote,history za ukoo na marafiki achana nazo,Amini Mungu ndio aliyekupa ndoa  yakwako  na yeye ndio atakaekuongoza basiiiii.............


atukuzwe Mungu kwa ile neema ya kuniponda ponda, na kunigeuza mawazo potofu niliyokuwa nayo na kunifanya kuwa mpya tena hata leo nashangilia Uaminifu wake kwangu..............
ahsante Mungu kwa ajili ya Baba wawili najiuliza tuu hivi Mimi bila huyu handsome wangu ingekuwaje????? sidhani km Elimu yangu,kazi yangu na kila chenye thamani kwa mwanadamu kingeweza kufit hii nafasi aliyonayo...........mmmh!!!! naamini Mungu huwa anafanya milango kwa watoto wake lakini this door was perfect for me......sijawahi kujiuliza km kulikuwa kuna choice nyingine zaidi ya Baba wala wawili na ninaaamini haita tokea................
bila kuwasahau wazazi walionizalia Mume mweeeee..... kwa kweli sina chakuwalipa Mungu ndio anayejua ni jinsi gani naheshimu uwamuzi wao wa busara....ngoja niuchune maana maneno ni meengiiii hayaishi



muke yake halali

mama yake na Careen &Cristabell
NIMEKABIDHIWA TICKET YA VACATION NA BABA WATOTO YA KUJIHONEMULISHA HAHAHAHAAA!!!!......WAPI NAENDA, LINI  AND FOR HOW LONG  ENDELEA KUNICHUNGULIA HUMU HUMU

3 comments:

  1. Hongera mwaya rose miaka mitano si muchezo ati kuna watu wameshindwa hata kuifikisha.. ndoa ikawa chali.....mi ndo kwanza ndoa yangu inakaribia miaka mitatu kuna ups and down but ninazidi kumtegemea Mungu.

    God bless your family!!


    Mdau-Musoma

    ReplyDelete
  2. HONGERA SANA TENA SANA IM VERY HAPPY FOR U AND YR FAMILY...LOVE U ALL

    ReplyDelete
  3. hongera sana mama wawili mweeeeeeeeeee

    ReplyDelete