Pages

Ads 468x60px

Monday, April 29, 2013

MODEL OF THE DAY IS...........

MAMA WAWILI KWI! KWI!! KWI!


Ungebahatika kuniona kitaa leo huo ndo muonekano
muke ya Slay
nyie endeleeni mimi mwenzenu na mpango mwakani wakuwa AUS model kwa condition moja tuuu beach wear lazima nipewe kamtandio otherwise ntabadili uamuzi kwi! kwi! kwi! ushamba mzigo mwenzenu
mama wawili

hichi kiatu ni kipya naninakipendaje?????? msinipige madogo maana ntakivaa mpaka kiombe msamaha... kwani nini si changu bwana nirudie nisirudie .....nimekuwa nawekewa nguo kabatini za kanisani na zakushindia kuanzia namiaka 4 mpaka 7nguo bado inavaliwa nani kakwambia mtoto wa mkulima anaacha asili???????

mama BEYOU
I LOVE MYSELF

Napenda sana kucheka ukiona nimeachilia comment ambayo haibariki  ujue  nimecheka sana ukiona sijairuhusu kiukweli juwa tuu nimekudharau na hujui unachocomment so usiirudie rudie lkn km mpango wako niisome haina shida keep it wangu  mama wawili ntabaki kuwa mama wawili labda Baba wawili atake kuwa Baba watatu na Mungu wetu aruhusu hilo......

8 comments:

  1. atakaesema ana lake, umetokelezea kpnz umependeza sana sana, keep it up,

    ReplyDelete
  2. MAMII SAMAHANI NAOMBA NISEME UKWELI UNA MWILI MZURI NDIYO BUT NGUO ZA KATA MIKONO HAZIKUKAI POA VAA AMBAZO SIYO KATA MIKONO UTAPENDEZA ZAIDI KIROHO SAFIIIIIIII ZAIDI MAMII OTHERWISE KILA KITU KIKO POA NA ITAKUWA POA ZAIDI UKIVAA NGUO ZAKUFUNIKA MABEGA YKO KILA LA KHERI MY DEAR.

    ReplyDelete
  3. Kwa kweli umependeza saaanaaa. Love you Rose



    Mdau- Musoma

    ReplyDelete
  4. unapendeza na nywele kama hizi kwa kweli...barikiwa

    ReplyDelete
  5. umependeza jaman.nakupenda bure tu mama wawili as u col yoself.....

    ReplyDelete
  6. yaani we kumbe mzuri hivyo jamani umependeza sana sana hair style bomba sana sana nimekupendaje sasa je achana na yale manywele mengi bana ndo yanakufanya uonekane umekomaa kumbe kigoli bana nimekupendaje umenifurahishajeee yaani fashionista wa nguvu alafu kumbe unaunywele wako mzuri umependeza sana nimependa hiyo hair style usiweke yale manywele mengiii hata kama fashion bana siyo lazima upitie fashion zote

    ReplyDelete
  7. kula raha mnyalu mwenzangu wakilisha wanyalu. naomba address ya blog ya ngomi tafadhali.

    ReplyDelete
  8. Mimi bado sijaona tatizo lamikono ya Huyo dada...au unataka mikono Ile minene nyama zinazo ninginia?ebu angalia mikono ya Jada Pick....mrembo Mimi penda Hiyo mikono yako. hapa natafuta jinsi ya kupunguza Hilo konolangu linalo ninginia na stretch Mark kibao ..kilasiku navaa nguo za mikono..kuficha Hilo. ur bless my dear hiyo figure yako matata.

    ReplyDelete