Pages

Ads 468x60px

Wednesday, April 17, 2013

VACATION: DAY 4

LEO NIMEGOMA KUTOKA HOTELINI NITUMIE FACILITIES ZA HOTEL MAANA NIMEZILIPIA LAKINI KILA SIKU KIGURU NA NJIA HAHAHAHAHA!!!!
muke ya Slay
mama wawili



 hii spot nimeipendaje it is so cool
nimesahau shida za duniani hahahaaa!!! wait until  few days to come...........
 i love my dress
the view
swimming tym
Mr & Mrs
 tangu lini mkinga akaogelea bwanaaaa
chura utamjua tuu asione maji kiu imembana
hapo chacha huyu mwalimu nae siku zote hizi mwanafunzi bado hajagraduate tuuu hata km kichwa kigumu nina mashaka hahahahaaa!!!
hapo chacha

mapumziko hahahahaaa!!!


mwanafunzi kesha choka mwalimu bado duuuu!!!!

8 comments:

  1. mbona leo nakuona umetoka umekomaaa

    ReplyDelete
  2. Kakomaa shangazi yako mmxxiiiiiuuuuuuuuuu. Wivu tu Hapo ulipo tangu uzaliwe hata vacation huijui roho inakuumaje chacha aliye pewa kapewa

    ReplyDelete
  3. mi naona kama ndivyo alivyo siku zote ni mkomavu ni kweli kapewa na pia ni fashaionista wa nguvu mnyonge mnyongeni haki yake mpeni jamani huyu dada anajua kuchagua pamba na kupangilia pia anaweza yuko vizuri kwa area hiyo lakini kwa ukomavu au sura ngumu ni kweli ndivyo anavyoonekana kwenye picha labda ukimuona liveee cjui lakini ila anaonekana ana sura ngumu haswaaa "freedom of speech"
    mtandio wa nini bidada jiachie feel freeeee bana unaogopa nini????
    hongera mguu wako unajitahidi

    ReplyDelete
  4. Heee jamani ubinadamu kazi sana...yani leo ndo mmemuona Rose kakomaa? kila siku nasema kama humpendi mtu acha kuingia kwenye blogu yake!!! Hivi nyie mnajiona warembo mliokamilika kila idara? Hovyooooo

    Enjoy mwaya shost yangu na umependeza sana tu! wanalo hilo.


    Mdau- Musoma

    ReplyDelete
  5. Hamjui kaka Dada Rose ni mlokole jamani ndio maana anavaa mtandio. Nakupa big up sister kwa kutoonenya bikini. Wewe ni mfano
    Wa kuigwa. Na Hongera kwa anniversary yako.

    ReplyDelete
  6. mdau Musoma

    hivi kusema Rose kakomaa uso au ana sura ngumu ndo kutokumpenda au kumchukia?MAKUBWA BASI tatizo letu wabongo ndo hilo hatupendi kuzungumza ukweli pia tunapenda mazuri tuu ukweli NO mbona mguu hujasema asante kwa kumsifia mguu wake mzuri?hakuna cha urembo wa kukamilika kila idara wala nini kawaida sana tu lakini ukweli utabaki vile vile,walokole ndo wanavaa hivyo alivyovaa?mh

    ReplyDelete
  7. si bure ww una matatizo..sasa ndo Mola alivyomuumba ww wakosoam kazi ya Mola ebo??punguani ww

    ReplyDelete
  8. pendeza sana mkinga wewe usijali maneno ya watu hayo hata kwenye kanga yapo

    ReplyDelete