Pages

Ads 468x60px

Wednesday, August 8, 2012

PESA SABUNI YA ROHO MMMMMH!!!

Hapana chezea isee mahesabu niliyopigiwa ya hii simu Its all about $$$$$ kwa maana nyingine ni pesa nilionunulia msouth + full tiles ya nyumba nzima ya bongo Hahahahaaa!!!! We unawaza mfuko wa cement leo wenzio washasahau hayo mambo..........duuu!!!!!!

Haya mnaojua kuzoom na kugoogle kazi kwenu
jamani hayo ni madini kweli sio bati bati
wapi  whatsap?????na Bbm je????

Nna ham mie????
Huyo mmiliki sasa................jamani tungekuwa kina sie dunia mbona ingeelewa........


No comments:

Post a Comment