Pages

Ads 468x60px

Sunday, August 26, 2012

SAFARI INAANZA...........

Naamini ntafika.......Nia ninayo, Sababu ninayo na Uwezo ninao......ZAIDI YA YOTE NAYAWEZA YOTE KATIKA YEYE ANITIAYE NGUVU......hakuna kinachoshindika......kusubiri tuu ndio kuna chosha nakukatisha tamaaa.....nasema hivi...... huu mwaka ni wangu mpaka kieleweke

looking forward


"I will make you into a great nation and I will bless you; I will make your name great, and you will be a blessing.
i know, long way to go........But hey! has to be within 2012

my hand bag all the way from U.S.A ......thank you my gal,segi,Ngomi
 God never leaves us nor forsakes us

1 comments:

  1. hi Rose, kilemba hicho kimechukiza, kilemba unakifunga ukiwa na a flowy dress, la sivyo kifunge kifashionista, pia inaonekana jua lilikuwa linakupiga so your look has wrinkles, try and have your pics taken bila sura kukunjamana

    ReplyDelete