Pages

Ads 468x60px

Tuesday, August 14, 2012

Nimejifunza na bado naendelea kufundishika

Leo  my Careen alikuwa na interview ya kuanza kindy next year, Jamani mwanangu anapenda shule kila siku akirudi play school ananiuliza mamii when am i going to school like Tania? huyo ni rafiki yake ye ameshaanza shule, walikuwa nae play school kamzidi umri kidogo so ye yuko kindy kwa sasa.Na sheria huku mtoto mpaka awe na miaka minne ndo anaanza kindy...... Haya leo ndo tumeitwa sasa nikamwambia mwanangu ukionesha utundu tu hawatakuchukua, uwe mpole na ukiulizwa swali unajibu......... aisee mtoto alikuwa mpole tangu nampandisha kwenye Gari,

kwenye gari kulikuwa kimya km hakuwepo mi nikuwa nasikiliza cd yangu ya solomoni mkubwa
yaani ukimwangalia utafikiri mtu mzima yuko nervous na interview

hata pose za upoleee
waiting yaani mwanangu nnavyomjua hapo angekuwa anarukaruka nakumuuliza maswali kila anaeingia nakutoka lakini mmmh!!


mpoleeee

interview time
km sio yeye anafanya kila anachoambiwa aliulizwa swali hapa Careen do you like school?????Yes.... Mumy brought me to school because am not kojoa( in careen voice) hahahaaaa. huwa namwambia km ukijikojolea huendi shule weweeeee alikomaje msikilizaji nakiswangishi
hebu mwangalie alivyofurahi baada ya hapo km kahakikishiwa vile
excited
back to normal.........maneno hayamuishi mdomoni like mother

tunavyokuja sikumsikia akidai headphone aangalie dora explora
love you my baby...... kukupata wewe kwangu ni ushuhuda mkubwa sana, umenifundisha nabado najifunza mengi kupitia kwako.......... Sina chakumlipa yeye huyu aliniwezesha.........

Zawadiii, gani mimiiii, niiiita mtoolea Bwana, iiila  ila moyo wangu TUUU
Pokea pokea, sifa hizi bwana, tena tena uzibariki leo, uzi uzijaaaze............

Mimi nitoe niniii Bwana ,ambacho cha thamani kwako, iiila ................... aaaah naimba jamani siku njema

4 comments:

  1. Ubarikiwe mamito watoto wana raha yake usikwambie mtu! Nakupa hongera umekuza mdada namtakia careen aendelee na ari hiyo hiyo ya kupenda shule akaipate PhD kunako wakati Mungu aliomwandalia.

    ReplyDelete
  2. Hongera sana...nimefurahi kusikia kuwa unajijua kama wewe unaongea sana, nilijua umepunguza kidogo kumbe...!

    ReplyDelete
  3. What fun!! Nanukuu majibu ya Careen " Mumy brought me to school because am not kojoa" ahaa ahaa ameniacha mie hoi kwa kucheka, utoto raha kkwakweli. She loves school that is very good for her.

    ReplyDelete
  4. OOhh Segito Maneno mazito sana Mwanakwetu.Huna chakumlipa MUNGU Utampatia nini zaidi ya kumtukuza na kulitangaza jina Lake?.Ukimpatia Dhahabu,Pesa na Chochote Vyote ni Mali yakeeeee!!!!Tuseme Asante Asaaaaanteeee!!

    Hongera sana Mtoto Mzuri kwa Kutii mafundisho ya mama,MUNGU akulinde na kukunyooshea Njia katika masomo na yoote Maishani.TULIMGATI MWA YESU!!!!!!

    ReplyDelete