Pages

Ads 468x60px

Friday, August 3, 2012

THE MOMENT I MISS

EXCUSE THE QUALITY OF OUR CAMERA HAHAAAA nimeziona hizi picha kwenye blog ya Erick kwa kweli nimekumbuka mbari sana........... Hii ilikuwa ni ibada yakumaliza mfungo wa tatu kavu......duuu hapanacheza watu wanajua kutafuta uso wa bwana....... Jiulize umefanya nini kwa ajiri ya Mungu wako???????


PASTOR RWAKATARE

PASTOR RUKUMAE
Wapiganaji,wabomoaji yaani usiombe uingie kwenye maombi na hizi mutu aisee...... nawamisije????
Lister &Tina
One of millionaire in TZ ananyenyekea  na kujishusha mbele za Bwana
PRISCA!!! OMG R U BACK????? Miss sana wewe
Eeeh Mungu ukanikumbuke na mimi kati ya yale waliomba na kufunga  iwe ni hekima, baraka,upendo,unyenyekevu au lolote Si kwa mba ni mwema sana bali  ni neema yako.

3 comments:

  1. ni mbali sio mbari....najua ukikosolewa huwa aupost....unameza kimya kimya habari ndio hiyo jipende mwafrika mwenzetu

    ReplyDelete
  2. unajisifia mara kibao unapenda viatu mbona sioni ukinunua wala kubadilisha sn,,,check out jadore blog ndio utajua wapenda viatu.

    ReplyDelete