Pages

Ads 468x60px

Friday, August 17, 2012

WE NANI UNAHUKUMU?????


Hata neno la Mungu linasema, usihukumu  maana utahukumiwa............hakuna alie mkamilifu wote tumeokolewa kwa neema na tunaenenda kwa neema, Sina sababu yakuigiza maisha ninayoishi eti kwa sababu kuna wewe unaniangalia heheheee big no aisee....... @ unasema namashauzi haya we kalaga bao sie kwetu ni ushuhuda, kwa maana pia imeandikwa atakae nione haya.........labda husomi maandiko wewe BALI unajua kuvunja watu mioyo na kuwakatisha tamaa...........HOW PROUD IS OUR LORD WHEN WE PRAISE HIM?????? Bado huelewi ok, nenda kwa mzazi wa kawaida tuuuu  ambaye mwanae haishi kumsifia kwa ajiri ya kuwa mzazi bora kwakwe????? KID YOU OR NOT  THE CHILD WILL BE SPOILED........je si zaidi huyu aliemuweza wa yoteee........Hofu ya matarajio kwa Mungu, kupondeka na kunyeyekea kwangu ni muhimu kuliko kufanya kwa ajiri ya binadam awaye yoyote..............oooohhhh usinielewe tofauti mpendwa niombee,seMa nami kwakuongozwa, nishirikishe tuombe pamoja mbona sisi ni wamoja tuu DONT JUMP INTO CONCLUSION..................

Haya

Kwani we mwenzetu ni nani muda mwingi umekaa kuwanyooshea vidole watumishi wa Mungu?????Wamewekwa na kusimikwa hao NO MATTER WHAT?????? waombee kwani hujui km hawa ni Binadam km ulivyo wewe????? wanajaribiwa na kushawishika kama Yesu alijaribiwa sembuse wao??????? mbona hukusifia ulipoenda kwa mtumishi wa Mungu akakuombea au kukufariji kwa namna moja ama nyingine????? unaloliona nakulisema ni dhambi unayoiona, na zaidi ya yote umegeuka kuwa mshabiki wa makanisa, hueleweki wewe ni muumini wa wapi aiseeee ..........hivi unasoma Neno la Mungu??????? au ndo unataka usomewe nakukaririshwe halafu ukitoka unasambaza habari usiokuwa na uhakika nayo.........mmmmh kazi ipo........NENO LA MUNGU HALIONGEZWI WALA KUPUNGUZWA LIMEJITOSHELEZA........mbona unajifanya mtoto wa kiroho kila siku ila kwenye kuhumu umekomaa?????Mungu na atuhurumie kwa kweli.......Ok yawezekana unaukweli wa hilo unaloliona sina uhakika wenyewe mnasema wanafanya biashara, matapeli, na mengineyo....  tulia wewe, kwani hujui km wapo wanaotumika km daraja kuokoa nafsi za watu???? hilo ndilo lakuliangalia achana na hiyo laana yake na yeye ataelewana na Mungu japo ameokoa wengiiiiii.........unalalamika wanapenda pesa zako heeee nakushangaa kweli.........Eti zako ni neema tuu hata kuita zako,usipompaka mafuta Mungu wako what do you expect????? Kasome Wafalme ukianza na Samweli hasa kipindi cha Daudi ukakutane na Mfalme Suleiman sorry nimeenda deep kidogo maana hunielewi.........

Tuangalie sana  sana tuopambapo tusije tukawa tunapiga kelele tuuu na tufungapo hahahaaaa hapa patamu, ngoja niulize hivi unavyofunga unafunga kwa sababu ya taratibu na sheria au  ni kweli unataka Muda na Mungu wako????? utaniambia tumeambiwa tufuate sheria zilizowekwa ok, lakini angalia usije ukawa unashinda njaa mwisho wa siku MAANA KAMILI HUJATIMIZA duuuu..........Mwenzangu hivi mbona ukiwa na mimi Mungu mdomoni hauishi na kunionyesha km wokovu umeanza na wewe lakini sasa nijifiche au nikikurecord huko gizani uuuuwiiiiiii........

NIMEPONYA MTU HAPO AU NIMEPOTEZA..... UMEPATA TASWIRA AU MIMI MWENYEWE NDO WALE WALE............HAYA BWANA TUOMBEANE.

WEEKEND NJEMA RAFIKI



1 comments:

  1. Maneno mazuri sana mamie, fanya yako yanayokufuraisha moyo wako, walimwengu hawabebeki hata kwa khanga

    ReplyDelete