Pages

Ads 468x60px

Wednesday, August 22, 2012

Guys mama wawili is very busy this week.......... nafanya mtihani utanihurumia nikiwa na mtihani aiseee nakuwa mduchuu.......hahahaaaaaa!!!! you know what??????mimi sio yule mtu wakusoma soma tuuuu kila siku.yaani mpaka niwe na mtihani, Quiz,  na vitu km hivyo one week before or in the same week ndo utaniona niko na huo ubusy...... utasema shule imeanza na mie.......my classmates mnanijua hakunaga ubishi.......ukisikia zima moto haswaa ndo mimi sijui huu ukilaza utaniisha lini hadi hii level duuuuu.....nawamiss watu wangu sanaaaa hasa kipindi hichi mmmmh!!! wapi Reuben,Fadhili,Mama mwageni  maombi yapigwe kwanza????my Caro nikupigie misele unikaririshe???? Hosea wapi nije tujilipue kwi kwi kwi, Maiko, Adam hatuna notes nani anazo tukapige copy????Anna nipe desa wangu..... heheheee imekula kwangu aisee huku ni nourma...........lkn hakishindikani kitu kibishi bishi mpaka tutafika tuuuu..........hata mabox hayabebeki this week.

Nichungulie hair do yangu ya mtihani hahahaaaa sina muda wakuvaa wigi sijui kuchana wala nini







No comments:

Post a Comment