Pages

Ads 468x60px

Friday, August 10, 2012

TAMKO RASMI

Jamani eeh  wanasema hivi, hata chizi nae anatakiwa kusikiliza anaweza kuwa  anaujumbe ambao anataka kukupa ila jinsi yakufikisha ujumbe ndio ishu..........Hii inamaanisha  kwamba umsikilizaji kwa makini, Unatakiwa uwe na hekima na ufahamu ili kupambanunua..........ndivyo ilivyo kwa baadhi ya wasomaji wangu humu ndani. Nahisi wengine kweli wanahitaji kufafanuliwa na mimi mwenyewe muhusika ili wapate elewa, na wengine ndio hivyo tena hata nifanyaje sitafanikiwa kuwaelewesha na watabaki kuwa machizi. kwani hata darasani hawa watu wapo hata uwape mifano, piga kwenzi,chapa fimbo,na mengineyo haisaidii.......... Huyo mtu ni mbumbu haelewi hata kidogo.........kwa wale wanaolewa ni hivi

Hii blog haipo kwa ajiri yakugombana wala kugombanisha watu hasa ma blogger wenzangu.kila ninachokitoa humu hakilengi kumkanusha wala kumvurugia mtu utaratibu wake wa kazi........kuna kamchezo kameanza humu ndani kutoa matusi yakimaanisha zaidi kwa nini nakanusha post za watu na matusi mengi ambayo sidhani km binadam wa kawaida unaweza kubeba mzingo ambao sio wako kwanza hata huyo blogger unae mkingia kifua sidhani km anatambua uwepo wako duniani..moja ya post ni hii Education is accessory jamani huu ni mtazamo wangu.........haukulenga kukanusha mtazamo wa mtu yeyote yule, na heshimu mtazamo wao lkn haunifanyi mimi nione km waonavyo wao.na nyingine ni hii yakuolewa na wazungu hii post ya miezi mingi sana lkn mpaka leo watu hamuishi kuitafuta na kutoa lugha zenu mdomoni yaani hata sielewi km huo huo mdomo mtu unakula na chakula aisee duu.....
Haya kuna post nyingine naweza toa hata sijui upande wa pili nini kinaendelea sa nyingine  mi mtoto wa mkulima sili mpaka nishike jembe nikitoka zangu huko familia inanisubiri na shule inaniangalia mimi, ninachofanya ni kupost, bila hata kujua upande huo kinachoendelea....na pia baadhi ya hao bloggers ni kweli kabisa wao ndo walio inspire mama wawili kublog kwa hiyo tegemea kuona vitu vinavyolingana sometimes though haviwezi kulenga kugombana au kukanusha. kuwa inspired sio dhambi jamani ndo maana sasa hivi ku show kibao watu wameona show ya mtu na wao hao wakaanzisha.ndivyo ilivyo kwa bloggers walioanza  na tunaoanza tegemea kuona vitu vinavyolingana wakati mwingine hata wao waliona. wanachojitahidi kutofautisha kidogo bila kulenga bifu.

Ninachotaka kusema hapa baadhi ya wasomaji ndio mnataka kutuwekea matabaka na kutugombanisha hauna sababu yakucomment au kuingi kwenye Blog ya mtu nakuanza kuuliza habari za be you inahusu nini? km unataka kuelewa uliza humu ndani acha e mail yako ntakujibu.....hichi kijiwe mama wawili kaamua kufungua na kujifurahisha we km vipi usiingie kabisa sa nyingine mnanipa umaarufu bure mi ni blogger mdogo sana aisee......juzi kati nimepata watu 1000 kwa siku wakati huwa najipatia 300-400 kwa siku, nakuja kustuka kumbe source imetoka kwenye comment ya mtu......Jamani huu umarufu mi siutaki hata kuusikia hakuna maana kuwa na readers kibao ili niongeze maadui PLS,PLS,PLS.

na wale mnaniambia mimi mnyakusa sijui nimegroup na mnyakusa mwenzangu ili kumponda sijui nani nani......jamani hatasimjui huyo mnyakusa mnaemzungumzia sijui hata anafananaje...... sina ubia na mtu humu.......kwanza mimi sio mnyakusa...... na mengi kuandika hayaishi...... ila km nimeponya mtu ahsante natuendelee labda mlitaka nilizungumzie hili, km sijafanikiwa hapo ndo uwezo wa mama wawili ulipoishia sitaongelea hili tena......nyie endeleeni kutoa stress zenu humu ndani kwani naamini hamna kazi zaidi ya hiyo yakuchafua hali ya hewa , na mimi kama kawaida yangu siachilii comment za kijinga hilo ndo msahau km wengine mnavyo naambia ujumbe nimepata hata nikiwapotezea poa...........
week end njema watu wangu waukweli.......

3 comments:

  1. Nmekupata, mi pia nlikua ckujui ila nmekufahamia toka hzo blog zngne ila nmefurah kujua hii blog manake nami ni mtz na naishi hapa Perth nafurah kuona baadhi ya watu nawafahamu. Hao wanaoleta chuki wapotezee manake nmeshaona blog nyingi za watz zmekua na matabaka sababu kubwa ni watu wanaocomment weng wanapenda ugomvi na wanafurah kuona marumbano, vijembe, majigambo,matus na ushindan. Na Kama we blogger ukiwapa nafas mwisho wa cku utaonekana we ndo mbaya. Ni hayo tuu kwa Leo napta kla cku hapa. Enjoy the weather n ur wkend

    ReplyDelete
  2. ndio ndio mama wawili..mimi ipo fagilia sana wewe...u r truly being yourself..i lyk t!!

    ReplyDelete
  3. My dia..naomba uwe unaenda kutengeneza nywele sehemu ya ukweli mana wanakuboronga sana unapendezega sema nywele hawakupatii kama vip suka 2

    ReplyDelete