Pages

Ads 468x60px

Monday, December 7, 2015

MAMA NA TOTO KUBWA..............


Ukiwa na misele na wawili shurti bag kubwa na shughuli hizi za christmass basiiii bag full kujaa makololo
ananifundisha mapozi huyu mpaka concetration ya Camera huwa haipo ha!ha!ha!

ila nyie mwanenu kurefuka vepe....... 
hapo saba akifika kumi basi tena mdogo wangu ha!ha!ha! sema sura ndo zitaeleweka iliyokomaa itajulikana ya kikongwe labda nianze kutumia product za look young foreverha!ha!ha! zikigoma sasa kikikikiii

hili pozi letu ni lazima yaani....



ushamba vepe...

 tunawapenda

4 comments:

  1. Hongera dear kwa kukuza nina mtoto same age na wa kwako lakini naona hakui vizuri jamani we unampa nini? You always look great!!!!

    ReplyDelete
  2. karefuka aiseee sio mchezo! na mmependeza !

    ReplyDelete
  3. Mamii huyu ni mwili wake tuu tofauti na mdogo wake....... watoto wanatofautiana mpenzi usijisikie vibaya Bwana wee

    ReplyDelete
  4. Mwanao ana miaka mingapi Mama wawili...
    Nimependa lugha yako ya 'nene' ha ha ha...
    Kishwahili kinakuwa au vepe?

    Otherwise mko pouwa
    Mama wawili mwenzio

    ReplyDelete