Pages

Ads 468x60px

Tuesday, December 15, 2015

MKONOOOO...

 Haha humu ndani dizaini km mnasahaulika  vile lakini nawapenda mnoo.... Sasa leo ,hii special kwa kijana wangu mkiingia huko chini kacomment sana sijui katokea wapi ???yaani halafu nimemiss ha!ha!ha1...... Kiufupi alikuja kupiga shule huku akakutana na Mama wawili  si nikamuweka mzigoni...... ha!ha!ha!ha1 tulipigaje mkono yaani .........maongezi yetu yalikuwa mkono baba mkono ushemeji baada ya kazi kikikikiii.... We jamaa nimekumiss umenifanya nikuletee hii post niliipost jana facebook hahahaa !!kaofisi ketu vepeee....... fanya kurudi huku niko na kijana wangu Kalist  bwana....... Stella  wa mgodini ahsante Mama kwakunitembelea huyo jamaa muongo fulani hivi amazing usimsikilize anayokwambia ha!ha!ha! joke joke.




 haya ntarudi wadau wangu maisha na bills duuu
  

3 comments:

  1. Ni kazi tu hongera kazi yako nzuri ndio maana yapo mengi hapo

    ReplyDelete
  2. weweeeeeeeeee. miss u sana boss lady. boss asiyekaa ofisini kutwa juani anatafuta dola. big up sana boss lady

    ReplyDelete
  3. asante sana Rose

    Stella

    ReplyDelete