Pages

Ads 468x60px

Thursday, December 17, 2015

BABA NA MAMA ...........

Tuiite TBT basi maana ilipigwa jumapili iliyopita ha!ha!ha! Tatizo muda wa kuingia humu aisee mpaka huwa natamani blog ndo iwe instagram or whatsapp maana huko huitaji ni moja kwa moja tukio tunaachia ha!ha!ha! haya basi mnifollow IG ili msiwe wamwisho kupata matukio mnaonja kule mkija huku  mnamaliza hamu am vepe............ @beyoublog ndo tunalotumia huko

Siku hizi bonding nyingi tunazifanyia kwenye maji aisee huku kwetu ni joto balaa ....... haya mtuone 

 naingia ingia siku hizi soon na mimi ntakuwa chura we ngoja ha!ha!ha!

Dah!! hebu tuangalie wenyewe ila kuna siku tukibadilikiana humu ndani utafikiri sio sisi ha!ha!ha!
mtajiju..................


 bukta vepeee ha!ha!ha! nyie mwenzenu bikini zimenishinda kabisa i must admit naona aibu aisee hasa kwa watoto .... yaani ikitokea wameingia chumbani kwangu wamenikuta na pichu watoto watatoka mbio km wameona sijui nini na am sorry mamii sasa huwa nawaza nikiwatokea nakabikini vepeee??? ha!ha!ha! ngoja kwanza niendelea kuwa mkulima kha!!

tunawapenda

6 comments:

  1. Baba na Mama Wawili mko vizuri Mungu awalinde

    ReplyDelete
  2. Hicho kitumbo sasa utadhani huna mtoto umejaliwa Muke ya Slay

    ReplyDelete
  3. ha ha ha ha haha hilo na bikini mbele ya wawili kweli mtihani hasa kama umewalea kiafrika zaidi, ila sio mbaya kama ukiwa na mzee peke yenu #wink .......did i mention you are a cute couple!!?! and you compliment each other very well!!!!

    ReplyDelete
  4. mmmmhhhhhh no comment. Ila nimekumbuka enzi zile napiga mkono kwenye temperature 42 Centigrade. Daaaaaaah kitambi chote kilikwishaaa. chezea kutoka jasho 8 hrs per day? It was very nice experience. Christmass and Boxing day nikawa Esperance na Pierre. Aaaaah simchezo. Watu mnajua kula good time. Jana nimechati naye ananiambia yuko Albany anakula raha baada ya kazi ngumu. Big up sana wakuu. Tuko pamoja

    ReplyDelete
  5. mpendwa baba wawili naona mashallaha amejaaliwa kitu hongera

    ReplyDelete
  6. Nchi gani hiyo joto kali December?

    ReplyDelete