Pages

Ads 468x60px

Monday, November 30, 2015

NIPOGO.......

 Kama nawaona vile kuingia nakutoka kumchungulia Mama wawili ha!ha!ha! nawapenda sana mjue yaani basi tuu ila sema nini ubusy haishi jamani kha!! kila siku bora ya jana ha!ha!ha!

 Haya tena  moja ya siku ilikuwa hivi yaani............


 Joto wenzenu kha!!




Ha!ha!ha! hii nilipiga nije niwachekeshe .........mnakumbuka mwaka jana nililamika mti wa jirani full kunichafulia  hako kaeneo??  maskini sidhani km na yeye analijua hilo maana hata hatujuani............ kikikiii!  last 2weeks kuna best wangu mmoja kanitembelea si ndio akanambia kumbe yale mapindigesi aisee  mi nilidhani sijui maua gani ha!ha!ha!  he kuyatest aisee matamuje??? basi tena siku hizi nikijirudia mzigoni naenda kutembelea lililoiva iva kidogo mali yangu ki!ki!ki!

simu nayo huwa inahusika sana siku hizi how i wish blog iwe km facebook,instagram yaani naunganisha tuu kupost ha!ha!ha! hii biashara yakuandaa muda kuja kupost mgumu nyie basi tuu ha!ha!ha!
penda sana nyie

5 comments:

  1. pendeza sana muke ya slay

    ReplyDelete
  2. mama caren mapindigasi ndio nini tena mwenzangu mbona umeniacha lol ILA KUSEMA UKWELI UMEVUNJA DADA NOTHING TO SAY MASHALLAH

    ReplyDelete
  3. Bwana we kihehe huelewi ???kizungu wanasema peaches hata sijui ndo ina andikwa hivyo ama hahahaaa! Google

    ReplyDelete
  4. We love you too...
    Nimependa hiyo shati gauni...
    Mama wawili

    ReplyDelete
  5. Mkonooooooooo. Nimepamiss Kalgoorlie jamani. Daaaaah. Mwezi kama huu 2013 full kupiga mkono. jioni nimechokaaa narudi home na kigari changu alichoniachia mchina. Hahahahahaaaaaa. Siku zinakimbia kwelikweli. keep it up. One day yes.

    ReplyDelete