Pages

Ads 468x60px

Thursday, December 10, 2015

TUNAKUZA JAMANI......

Hii kwa kweli hata haikuwa yakupost...... ila nimeona nije nikutie moyo mpendwa ulie comment post iliyopita mamii.......

My dear  hii mbegu yenyewe iko hivi.......wee angalia  hao classmates wake nimepiga picha juzi walivyokuwa nakajisherehe kakumaliza darasa .......tofauti yao  hapo labda miezi tena kuna mwingine hapo same mwezi , mwingine kamzidi......... na hawa wengine ndo naona dizaini mbegu km mwanangu huyu mdogo ha!ha!ha!  so usione shida ni kawaida mnooo......We ni Mama bora bwana wee ........dont stress please .....

na huyo ndo aliyekuwa mwalimu wake wa Darasa .......na hilo ndo darasa atakalosomea Cristabell wangu mwakani ha!ha!ha! inaitwa bandika bandua aisee!!! chezea mapacha wewe???........ na uzee huooooo.......kikikiiii tufanyaje sasa???, nikukomaa tuu........ but am loving the journey aisee siku zinavyozidi kwenda ule umama na utoto naona km unapungua its more of BBF yaani naulizwa maswali yakikubwa tuu, najobolewaje sasa  na broken english yangu,????? nakosolewa na kusifiwaje???, yaani raha  tuu aisee..........Mungu aendelee kutupigania kwa kweli.

Habari nyingine hii  ha!ha!ha!


Bwana wee........ si nimekutana na  hii tena ,katika pita pita zangu duuuu!!! enzi zile yaani full kufuatana fuata yaani.... kusindikizana sasa duuu!! tulikuwa tunapenda kutembea khaaa!! hii kitu tulikatiza myfair pale ha!ha!ha!  nyie vijana wasiku hizi sidhani km photo point ya myfair mnaielewaaa ha!ha!ha!
kama sio miaka 9 basi 10 iliyopita  tulijiphoto point ha!ha!ha!

nimemwambia Baba wawili tukitia tuu timu bongo naomba kinyozi wake nimuone anirudishie hii look ya kijana wangu khaa!! na mimi mwenge  kwa wasusi itahusika aisee ha!ha!ha! ila sema nene Mama wawili sijui mkorogo au edit ilikubaleee ha!ha!ha! nikujisoap soap ilikuwa ha!ha!ha!

Nawapenda

4 comments:

  1. hiyo picha mlinoga sana nikiangalia hiyo jinsi ndio zimetoka kipindi hichoo nakumbuka ya kwangu nilikua naipenda kuivaa kuliko zote.

    ReplyDelete
  2. hongera mwanangu eeeh hongera nami nihongere weee hongeraaaaaa.

    ReplyDelete
  3. Leo nimekumbuka Kalgoorlie mpaka nikaikumbuka blog yako. nikasema no way ngoja niikumbuke. Bahati nzuri nilikuwa napiga stori na mdada mmoja anaitwa Stella hapa mgodini North Mara heeeeee ghafla si akaniambia anaifahamu blog yako. Nikasema duuuuuh hataari. akanipa nikasema Mungu mkubwa. lazima nitupie neno leo baada ya miaka miwili kasoro.

    ReplyDelete
  4. naona Tangu tarehe 10 huja update. Duuuuh Mkonooooooo umekoleaaaa.

    ReplyDelete