Pages

Ads 468x60px

Saturday, December 26, 2015

HELLO TANZANIA........

 Wapenzi huu ukimya  wa humu ndani wiki yangu ilikuwa busy sanaaa........... nilikuwa natakiwa nimeet mipango ya mabox kwanza  kabla sijaondoka so nguvu ilitakiwa iongezeke sana hii wiki akili yangu ilikuwa kihivi. Thank God tulimaliza ki hivi .........

last day @my workshop for 2015

kilichofuata ni safari Christmass yetu tuliifaidi Dubai. nilishindwa hata kuingia kuwa wish  ni matumaini yangu wote mlisherekea vizuri.
na mwisho kabisa naomba nipige hodi asubuhi nimeamkia nyumbani. Home sweet home jamani i love my coutry cha!!! nawaonea wivu aiseee. niko busy kubond ila ma bby seater wanabadilishana tuu na mimi na dad yake tuko busy kujihoney moon ha!ha!ha! nikubadilisha tuu viwanja ha!ha!ha!


 tunapokea mialiko ila bajeti yako kuanzia usafiri mpaka kulala ha!ha!ha!
 nawapenda

3 comments:

  1. Karibu mami.. We mwanamke lakini unakula maisha.eeeh! Ila ndo ulitutupa shoga. Uwe unatu update bwana. Karibu sana. I must seeyou kwa kweli hata kimbalimbali. Unaenda lini kanisani vile ili nije. love ya

    ReplyDelete
  2. Mbona bilikuwepo jana wangu au ndo ukinichunia hahahaa

    ReplyDelete
  3. Karibu sana home sweet home

    ReplyDelete