Pages

Ads 468x60px

Thursday, October 29, 2015

TBT...........


Jamani wamtangaze basi watu mambo yaendelee khaa!! poleni ndugu zangu inaogopesha lakini Mungu awe  yupo nanyi............

 haya hii nayo ilikuwa mualiko mwenye shughuli mwenyewe ndo huyo  my shoga huu akiwepo shughulini huwa narinagaje maana tunakitwanga kiswahili ha!ha!ha!  ye mwenzangu mkeyiiii huwa tunagongana sana kwenye vishughuli  ila this time ye ndo aliyetushughulisha.......
 hatua zilizidi wapendwa gauni likapasuka ha!ha!ha! danganya toto





 Maombi yangu  amani itawale tumalize salama mipango iendelee.....

 nawapenda

No comments:

Post a Comment