Pages

Ads 468x60px

Wednesday, October 7, 2015

LINATUHUSU HUMU NDANI................

Haya jamani nimekutana nalo  naona kama ni habari njema kwangu ..... Haya sasa mambo mengine ngoja tukamalizie chumbani tusiwape faida walimwengu...................Ahsante Mwanasheria wetu Addo, tunajivunia kuwa namakamanda wa Yesu kwenye nyazifa hizo ubarikiwe mnooo. ndaga ndaga Baba uvombile.........ha!ha!ha! wanyakusa msaada hapa kikikikiii!
kwa udhamini wa AYO TV



1 comments:

  1. Kama sijaelewa hivi...
    Mumewe amekataa kurudiana?

    Anyways...kila aliye kwenye ndoa atafurahi akiona wanandoa wana solve tofauti zao...
    Flora na Emma ni moja ya kapo kali sana kuwai kutokea TZ...
    Nitafurai wakirudi kama zamani ili kuwatia moyo wanandoa wengine kuwa ndoa ina challenges nyingi...na ukizipita ndoa inakuwa stronger than ever before
    Mama wawili mwenzio...

    ReplyDelete