Pages

Ads 468x60px

Monday, October 19, 2015

ONJENI

 Hata kama shughuli haiwahusu  uvumulivu huwa unanishinda nisipowaonjesha kha!!!!haha!haaaa!

 so this time around kadi ya mualiko ilimuhusu na Baba watoto si ndiyoooooo!!! haya mtuonje basi

Heading..............


Mama mbili


 na Roho yangu mimi

tulikuwepo humo ndani shughulini
nikiripoti kutoka eneo la tukio  wale wafesibooking bila shaka umeona mengi ya hii shughuli

Nawapenda

5 comments:

  1. Bana mimi sitaki...hizi bakora sasa zinaanza kuingia...

    Mbarikiwa sana...Couple yenu iko on-point mummy...

    Gauni ndefu nazipenda ila nilivyo mfupi nalazimika ku opt for nguo fupi...at least usafiri wangu unibebe kwi kwi kwi...(Mungu hakunyimi vyote ujue...ha ha ha)

    Mama wawili mwenzio

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakoseagi anatupaga sawa sawa angekupa vyote labda ungetembelea kucha asingependa kukutesa hahahaaa. Imagine ningepewa vyote sina uhakika km ningeelewa definition ya unyenyekevu Ki kikiki

      Delete
  2. Ha ha ha ha ha mama wawili hapo juu umenivunja mbavu!!
    Pendeza sana mr and mrs s. Mbeyela

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tatizo sifa hahahaa nnashida mimi khaa! Hahaha nakupenda Mama C wangu

      Delete
  3. Mpendeza sana sana gauni ndefu zinakutoa sana sana!

    ReplyDelete