Pages

Ads 468x60px

Friday, October 16, 2015

THE LOOK

Haya basi mkawe na weekend njema wandugu.............  Moja ya vitu muhimu sana vyakuvipa kipaumbele wapenzi ni kujongea nyumbani mwa Bwana............ Aisee muhimu mnoo wengi hamuwezi tena, mmekata tamaa,huoni umuhimu tena naomba nikwambie , hizo zote nisauti za shetani anajua kile Mungu alichokuandalia, fanya maamuzi sasa wapendwa wangu....... ......... sipigi porojo za bure maisha yangu ni ushuhuda, nimemuona Mungu mnooo........ wakati mwingine najiona sistahili... naomba nikuhakikishie  utayari na kukubali ndani ya Moyo wako, kupondeka kwa kunia nakukiri kuwa yeye ni Bwana na mwokozi wako, ndivyo vigezo toshaaaaaaaaaa.......otherwise sina uhakika km kina sie hii neema ingetukuta yaani km angekuwa anahesabu uwiii.........................Hivi umewahi hata kujipa dakika ukumbuke ile safari yako mahali ambapo unajua kabisa habari ingekuwa nyingine leo, umewahikujiuliza hata wale marafiki wako wapi??? imekuwaje leo uko hivi na wao wako hivi?? aiseee  ila ni muhimu sana kuangalia hivyo vitu @list vinaturudisha kuwa wanadamu aisee, maana kuna wakati tunajisahau sana na kuvaa roho zisizo na ubinadamu.......JINA LA BWANA LIBARIKIWE




na ubora wake

nawapenda.......

2 comments:

  1. ameeeeennnn. That was realy meant for me. nimekuwa mvivu sana wa kanisa wakati Mungu anaendelea kunionekania mno. Kuna kitu nilimwomba zamani. Amenijibu though amenikuta nimekengeuka ila amenijibu. He is a father of fatherless.

    ReplyDelete
  2. Ukiwaga unatiririka hivi, mi full kubarikiwa!! Penda sana mama wawili!!

    ReplyDelete