Pages

Ads 468x60px

Monday, November 2, 2015

TUPOGO.........



Bila shaka mko poua  wapenzi wangu .......Sema nini ????hii miezi sio yaani unafanya kukomaa ili kukamilisha mipango ya Mwaka ....... Imagine eti tuna mwezi mmoja tuu kuona,ili  tuone mwaka mwingine duuu!!!! nyie wenzangu hiyo mingine vepeeee mbona mi naona kama mchaka chaka vileee??? Au Mama wawili tu hapa na mawenge yake ha!ha!ha!


 By the way Hongereni mnooo kwa kupata Baba....... Ha!ha!ha! i mean Jembe  mbeba mabox nimeelewa mbona...............jamani yaani hiyo haina chenga ndo kashakuwa ulimchagua hukumchagua ndo ishakuwa............. Tumuombee akakamilishi kusudu lililowekwa mbele yake. Ni aminivyo mimi kila lililowahi kutokea  nakufanikiwa, tukisoma wahusika walikuwa na amani fulani hivi ndani, Walikuwa wepesi na kukubaliana na lile lilolowakabili ..........waliheshimu maamuzi japo kuna wakati walipoteza matumaini. Bwana aliangalia kile kilicho ndani na ndicho alichocheza nacho. We km hunielewi kasome wakina Musa  mbona safari ilitakiwa iwe ya mda mfupi sana!!!!! lakini kwa sababu yakutojua, kupoteza tumaini,kusahau, kukosa uvumilivu........,.......,...... mwisho wa siku vizazi husika vilipotea lakini uzao ulioendeleza jina ulikamilisha kusudi la Mungu.


 Bado hamnielewi Basi kamsome Sauli ........Chezea Mungu wewe na mipango yake .... Kwani we mwenzangu unaonaje ha!ha!ha! Sauli kilichombeba muonekano bwana........Bwana alijua atalifikisha wapi Taifa sina uhakika km kigezo cha utakatifu kilikuwepo, nafikiri aliangalia sana kusudi.... ni nani atumike kwa kipindi. Sasa ukiangalia hili naamini utakatifu sio kigezo ila Muda husika ni muhimu.......  km haitokea Basi  kubaliana maana hakuna aweza kubadili kusudi la Mungu km si Mungu pekee.......usifanye mambo Magumu, fitina km alizozifanya Sauli kwa Daudi mwisho wa siku unapoteza utu............


 Oh! nimemtaja Daudi ngoja nae nimzungumzie ni nani alimtambua??? kamsome utanielewa si ndugu, si jirani hakuna alieona kusudi ndani yake. Dharau nyingi  kutoka kwa watu wenye nafasi zao.Unyenyekevu na usikivu wa kiroho ulimpa amani hata pale alipokuwa na mamlaka  yakufanya chochote... Kasome  alichosema kwa habari ya mtoto wake alivyomgeuka... Lakini huyu huyu Daudi tunamuona baadaye alivyokubalika, alivyotumika sawa sawa ,.............,........, Je ulitegemea kuona Daudi siku moja ataingiwa na roho yakuua kwa sababu ya mke wa mtu???? Hatuna ukamilifu, tunachohitaji ni kukubaliana na kuwa Jeshi moja ili kwa pamoja Tuweze.

 Labda unamuona leo Big Dad ndo Daudi,Sauli,Musa wa leo. Kikubwa Tambua wanahitaji goti lako maana Bwana asipo ilinda nchi wakeshao wafanya kazi bure. 


Haya basi mapicha, Mialiko vepeee mtakoma na hivyo ndo kile kipindi cha mialiko hapa nina my invite ya hivi kibaoha!ha!ha! mtanichoka mbona 









Tunawapenda!

1 comments:

  1. Mmependeza sana! Nawapenda sana Mungu awabariki

    ReplyDelete