Pages

Ads 468x60px

Tuesday, October 13, 2015

NIPOGO.........

Nawasalimu wapendwa kapicha kanamasiku fulani ila ndo nimeona kiwe kisalimio ha!ha!ha! majukumu na mimi ila sema ndo hivyo mapenzi kwenu ni mengii lazima nije niwachungulie kidogo .......

Mama mbili mwenyewe........

Nawapenda

2 comments:

  1. Tuna taste zinazoendana mama wawili...hiki ni kiatu cha pili naona kinafanana na change...

    Mama wawili mwenzio

    ReplyDelete