Pages

Ads 468x60px

Wednesday, May 20, 2015

NIPOGO..........

Nyie bwana tatizo mabox  mwenzenu khaaa!! chezea bills za ulaya nyie ha!ha!ha! otherwise nipogo wapenzi wangu.... haya mimi huyo...

Mama yao wawili........
shoe game ...... napenda viatu mwenzenu mweee mpaka najihurumia......

 binti wa Yesu mie ndani yamapozi

hapa sijui ndio nini kha! labda nilikuwa nataka kuwaonyesha nina balance yaani naweza kusimama kwa mguu mmoja ha!ha!ha! chezea mapozi ya uzeeni wewe???

 haya nawapenda

No comments:

Post a Comment