Pages

Ads 468x60px

Wednesday, May 27, 2015

MBINU ZA MUOVU..........

Hivi imewakukuta siku unachokiona mbele yako ni nguvu ya shetani inayokwambia huwezi????  umeshindwa??? you are not the best??? ukichunguza sana jambo hilo na wewe unajiona umefanya sana kwa nafasi yako unashindwa kuelewa imekuwaje???? Ngoja nikukumbushe km unaona kabisa kimwili umewajibika  bado hiyo nguvu unaona mbele yako juu ya jambo fulani,  best tambua hiyo ni roho, na roho inaondoka kiroho yaani......... Fanya kuingia kiroho pigana kiroho kumbuka unapoingia kiroho ingia kiujasiri maana tayari umejua siri.... Unajua nini??? adui hana jeuri yakuingia mzima mzima ila huwa amejipanga ........... anaanza mdogo mdogo kukutekenya, ukitekenyeka tuu  na kuzaa hofu basi! hilo kosa la kumpandisha kiwango.......  Wana wa Mungu hawana hofu kama hunielewi kasome Isaya 43
nimesema chunguza ujue tatizo limeajer???
 lipo pozi kidogo km la Mama wawili ha!ha!ha!

cheza kiroho  uliyenaye ni Simba wa Yuda ujue???? tatizo ni nani???vumbi lake atalikuta mbele ya safari


Mapozi ya ushindi hatusemi kwa akili zangu bali tunamuinua yeye aliyetuwezesha.........


Nawapenda

15 comments:

  1. umependeza Muke ya Aslay! Mi kiatu jamani kimenibamba

    ReplyDelete
  2. pole kwa matatizo ya ndoa yako naona mpk pete umevua shoga misifa yote imekuisha unalo hilo mume kachoka kushkiwa akili umemfanya ndondocha mpaka kashtuka mwanamke mjuaji ww kiranga wewe kila kitu wewe ndo wewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umetisha best........... Duu!!nimekupenda bure yaani

      Delete
    2. Umesahau kunisifia mwenzio nilivyopendeza au hujaniona?? Hawezekani ukaona kidole tuu !!!

      Delete
    3. Binadamu! Khaa!

      Ukiona wengine wanaishi kwa upendo na wewe unatamani, mshukuru Mungu kwa ajili yao na Mungu atakubariki na wewe.

      Usikubali kutumiwa na muovu.

      Delete
  3. jamani mi nlijua ni hater kwani kweli? please nitoe wasiwasi

    ReplyDelete
  4. kupendeza umependeza shoga usipoonesha mikono yako ilokomaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umesahau mi muosha magari labda nikukumbushe mpendwa hata hivyo sheria za nchi zinanibeba lazima nivae gloves otherwise ungetegemea kuona dole full magaga usiombe nikuguse na ngozi yako ulijaliwa utajuta.....

      Delete
  5. ALWAYS positive minds produce positive lives. Negative minds produce negative lives negative thoughts are always full of fear and doubt, rose wanadamu hao huwa wanaprovek ili tu uwajibu and people like this they wont change their behaviour until they change their thoughts, and it will be done by the grace of God, So songa mbele mama wawili baba yako wa mbinguni ndio anayejua kweli yako hawa ni wanadamu tu,

    Barikiwa mama wawili nimependa viatu zaidi .

    ReplyDelete
  6. Wewe unaye ikashfa mikono ya Rose weka yako tuione basi. Mimi naona ni wivu umekujaa ni wanawake wangapi wanaolilia huo mwili wa Rose? Mimi ni mmojawapo, siajabu na wewe pia ungependa kuwa na hata ya nusu ya mwili Wake. Kwanini usimsifie mtu bila kuwa na kashifa zisizo na msingi? Jamani sisi wanawake inabidi tubadilishe tabia za kutukanana badala yake tuungane. Hayo yote unayomsema Rose hayatambadilisha kwasababu ana msimamo wake. Jinsi alivyokujibu inaonyesha kabisa yeye ni mtu wa aina gani na uwezi kumyumbisha.

    ReplyDelete
  7. wewe ni rose mwenyewe umejibu shoga badili namna ya uandishi ukijikomentia

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 31, 2015 at 11:01 PM

    We utakuwa na pepo si bure, Mungu akupe hekima, na roho wa mungu akuongoze katika njia yako na akisafishe kinywa chako . Mwe niandike kihehe kabisa barikiwa maana ninashukuru nimejifunza mengi kupitia hii blog hapa hasa suala la biblia

    ReplyDelete
  9. unataka tufanane mtazamo wakati unijui ndg ukinijua si ndo utalamba miguu yangu

    ReplyDelete
  10. anony mwenye hasira na wivu juu ya Maisha ya watu, ulifikiri rose atadata na matusi yako ha ha ha!! BTW i think issue sio ndoa yake mi nadhani ni kutojiamiani kwako na problem za ndoa yako that is "if you are married" which I still doubt, anyway ndugu wefanya kumuamini yesu Kristo mbona Maisha mteremko stress utazisikia kwa jirani!! anony Fanya uokoke yesu anakupenda hivyo hivyo ulivyo na yuko tayari kukusaidia with whatever issues you have !!

    ReplyDelete
  11. Ze shoes mi love it aisee!! plus nikikuona yaani mi nafurahi balaaa!!

    ReplyDelete