Pages

Ads 468x60px

Monday, May 4, 2015

CHANGAMOTO...........

Nyie bwana mkiona kimya ndugu zangu sa nyingine nagomewa mwenzenu kupigwa picha ha!ha!ha! kama hivi  mgomo ulipita nikaambiwa zamu yangu kuwapiga na ikitokea km ndo kuna mnuno basi mbona wanajua kwakunikomeshea ha!ha!ha! chezea kublogua nyie .................

binti yangu huyu  miezi sita ijayo eti anagonga 7yrs old mweee!!!!! Hizo zawadi sasa ninazoombwa eti simu!!! kweli???? anataka kuwasiliana na nani kwa mfano?? majangazi....... atasubiri mnooo kha!!! huu uzungu mbona balaaaaa.......

 she is cool hey???

my first love...............


Sifa na utukufu ni kwake yeye aliyetenda na anayeendelea kutenda peke yangu mimi ni sifuri............

 mwisho wa siku nilizomewa kihivyo yaani mgomo wao ulikamilika ha!ha!h!ha!

 Nawapenda mno wapendwa tuendelee kuichuchumilia taji kwa pamoja.........

2 comments:

  1. Mimi mwanangu wa 8 year hajanidai simu lakini nataka nimnunulie ili niweze kumpigia daily kumkumbusha kuhusu homework.

    Housegirl wangu naona amechoka kazi...maana alikuwa mzuri sasa anaanza vituko...nilimpa simu yangu ya maana sana baada ya kununua mpya...lakini ana matumizi mabaya ...hajui kutunza au nadhani anataka nimnunulie simu mpya simuelewi...na si mara ya kwanza...nikinunua simu mpya Nampa ya zamani...lakini hakichukua hakai mwezi anaanza story kuwa simu mbovu na mimi simu zangu zote ni original....mwanzo nilimwambia hubby nikienda nje (niko Tz) ntamnunulia simu mpya...hubby haku support especially sasa hivi alivyobadilika tabia...akasema kanunue simu yoyote cheap mpe... lakini logic yangu ni uhakika wa kuweza wasiliana na watoto nikiwa job...tatizo huyu mdada simu anaigeuza redio inatwanga toka asubuhi hadi jioni wakati radio ipo...mwishowe betri hazikai...au unasikia imedumbukia kwenye maji...sababu kibao...na unajua betri nzuri ni ilokuja na simu...ukianza kununua jua simu itakufilisi...

    Ndio maana nimeamua short cut kununulia watoto simu moja itakayokaa chumbani kwao niwasiliane nao na wao wawasiliane na mimi niwapo kazini ili niweze kuwa supervise maana nachelewa sana kutoka kazini...

    Maana naanza pia kuona huyu dada anani blackmail sababu anajua nina shida ya kuongea na watoto hivyo anaweza demand simu ya aina yoyote toka kwangu...na njia rahisi ni kuziharibu simu anazoona siyo...na namlipa relatively vizuri (80 kwa mwezi japo mimi ni wa kipato cha kati)

    ReplyDelete
  2. nakuelewa ila sema nini m
    Mama mtu yale malezi ya kizee naona yamenikaa yaani nikiwaza tuu ndo mwanzo wa instagram,facebook sijui manini chini ya miaka kumi uuuuwiiii!!! naona bora landline iendelee kuhussika tatizo lake anachagua smartphone kuna kitochi humu ndani anagoma anasema hiyo sio simu hahaha!

    ReplyDelete