Pages

Ads 468x60px

Monday, May 25, 2015

NANI HUYU ETI???????

 Nazidi kuwa mcharo mtoto wa mkulima au misifa tuu najifagilia??? ha!ha!ha!



nimenyoooka 

mapozi.........


 haya mawazo naona ha!ha!ha!

 feeling me self.........

 penda nyie........ nyie bwana mkiona kimya mjue mabox yamechanganya chezea bills za ulaya wewe.... Bwana we mshukuru Mungu popote ulipo kubaliana na mazingira , maisha ni popote ambapo Bwana ameruhusu uwepo kwa wakati huo... Hakuna short cut but you have choice ................. unatakaje kuwa, akili yako unailisha nini???? au unailisha mabaya huku ukitegemea matokeo mazuri??? MINDSET ndo chanzo cha hapo ulipo........

 Nawapenda

2 comments:

  1. usiwe unapotea kihivyo bwana.

    ReplyDelete
  2. umeng'aaa haswaaaa hongera love love the colour

    ReplyDelete