Pages

Ads 468x60px

Thursday, February 19, 2015

NIPOGO................


Wandugu nipogo ila ndo kuna   ubusy  balaa....... nina  fundrise dinner, hii weekend kwa ajili ya kitu fulani, Hata nikiwambia humu ndani hakiwahusu  eti eeh??? kikubwa mnivumilie nashindwa kugawa mda wa humu ndani, mabox na hii event maana inanitegemea kwa kiasi fulani ........ 

Otherwise, Pata kitu basi kutoka kwa baby Lupita...............ya siku nyingi ila nimejikuta natamani kuishare km hujakutana nayo 



No comments:

Post a Comment