Pages

Ads 468x60px

Monday, February 23, 2015

MAMA WAWILI

Bwana haka kachukua picha hakunitendea haki mjue??? yaani nilinoga zaidi ya hapo sijui kwa nini kalikuwa kana  piga picha zinashake!!!!! kameniuzije??/ ha!ha!ha!ha! miss you  my  wadau  ila sema nini ubusy wa maisha haepukiki............
 Nimekusikia mdau wangu siumena nywele zimepunguzwa??? so kipilipili ndo mpango


 Huyu hapa



mapenzi ya jumsuit naona yamenirudia.....



Love you.........

4 comments:

  1. Umependeza muke ya slay!!

    ReplyDelete
  2. umependeza sana jumpsuit imekaa vema hilo shepu mama wawili nalitamani! nimefurahi uendelee kubaki na hizo nywele! barikiwa sana mamy

    ReplyDelete
  3. Mama wawili umependeza ila nywle nyeusi ndo zinakupendeza zaidi kuliko hizo za rangi, if you dont mind plz rudisha ziwe nyeusi na ulivozipunguza ndo zimekaa mwake.


    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  4. Mama wawili nakupendaga sana..,.you have an attitude... that many women don't have...katika blogs zote za watanzania kwangu wewe ni number one....huko very classy huna muda na mtu...unajiamini ...

    M

    ReplyDelete