Pages

Ads 468x60px

Wednesday, February 4, 2015

ENDELEA KUONJA.....................

Mamake nani huyu???

mapozi na mimi

humo ndani ndo mawine yanatengenezwa ya kila aina yaaani???


kabla hujanunua  unatest  yenye radha unayoipenda ndo unanunua bahati yao ze kilevi iz not kupandaring mbona tungewakomesha hao ha!ha!ha!ha! huyo bidada hapo na glass yake tulimuacha anaendelea kuonja  tuu......... sina uhakika km alinunua au aliondoka tayari zinasoma  mbili mbili......

 Tukaenda humu sasa wee kunaogopesha licave likubwaaaaaaaaa




 mnapishana tuu wengine wanaingia wengine wanatoka

la familia


Careen bwana hapa na sisi tulimpata kila tunachoogopa wenzie ye na Baba yake ndo wanatupa show of za nguvu  hapa kwenye  Cave mweee alisali sara zote ha!ha!ha!ha!


Kila mizunguko tuliyoifanya watu walitaka siku iishie majini ndo hivyo sasa........ Mimi na mwanangu mdogo bahari hutuogeshi aisee tunajua kuangalia tuu so sikupata tabu kubeba vitendea kazi vyangu na mwanangu mdogo lakini tulivyofika duu mwenzangu kanigeuka ha!ha!ha!ha!

alivyoona wenzie wamenogewa hee!! sijakaa sawa  na yeye kaloana tayari kwi!kwi!kwi!



my life


Endeleeni kunichungulia matukio ni mengi ila ikifika ijumaa hatujamaliza kurusha basi mtatuachia wenyewe kwenye kumbukumbu zetu. 

Tunawapenda mnoooo

No comments:

Post a Comment