Pages

Ads 468x60px

Tuesday, February 3, 2015

ONJA MAMBO YA VACATION.............................

Siongei nikiongea ntajikuta najitetea ha!ha!ha! Angalizo tuu kwa wapendwa,wakwe,mashemeji kama vipi msiscrow down ki!ki!ki! ..................

nani huyu eti???




na nani yake??

 its about us kwa kweli hakuna  sura utakayokutana nayo inakujua na hata unavyopita hakuna anayeyambua uwepo wako ...............


bwana tukaingia hapo hee kumbe sijaweka picha ya ndani...... bwana nyie mjue tuu hayo maeneo tunapokula nakubembea ndo tuliambiwa wana award yakutengeneza the top 5 icecream..... duuu!!! tamu balaaa

tukaingia na humu ndani humo tukaona nawanavyotengeneza chocolate... sasa kuna za bure  unaonja kidogo unawaachia na wenzako duu kuna watu walikomesha hapo mbona nahisi tulivyotoka walijuta kuweka huu utaratibu ha!ha!ha!


tukapita nakuona watu namausafiri yao  yaani mtu kapark yatch yake hapo nahisi kama tulitia huruma mwee maana hapo tulikuwa tunapitwa tuu na couple wanaingia kuride wengine wanatoka ...... lakini unajua nini kilichonitia moyo karibia wote walikuwa na umri aisee so ikanitia moyo kama ukiwa na malengo bado inawezekana...............


khaaa!! hii kweli Mama wawili vacation mweee!!!

 mtu fido fido sasa anavyokenua ha!ha!ha!  naona nimemrudisha enzi zile za baby baby corido za mabibo hostel ha!ha!ha!





Tunawapenda


1 comments:

  1. Huwa nakupenda sana sana sanaaaaaaaaa mama wawili leo inabidi nikuambie by Lucy

    ReplyDelete