Pages

Ads 468x60px

Wednesday, February 11, 2015

THE LOOK................

Wapendwa wangu yaani sijui tutazungumza lini...................Mbona huku kichwani mwangu nina mambo kibao nataka kuwashirikisha a.k.a tuyazungumze???? Ila daa  gazeti linahitaji kutafakari,kuchambua, kiujumla linahitaji muda mzuri ili uweze kufikisha ujumbe vizuri...............

yaani nivichwa vya habari tuu   moja nimeipa jina MUDA NA WA SAA NI SASA .........nikiwa nimeambatanisha neno kwenye biblia pale Yesu alipoulizwa mbona wanafunzi wako hawafungi Mathayo 9:14-17.
 na hii nyingine sijaipatia kichwa vizuri ila nataka kuzungumzia kwa habari ya mtu kujiona yeye ni zaidi kuliko, au mtu kutamani awe yeye kwenye nafasi fulani iwe ya kimwili au kiroho lakini kwa sababu fulani haiwezekani......... hivi vitu viwili vinatoka na kujifananisha  kiovu  neno langu la kukazia 2wakorinto 10:12

na nyingine nayo duu nashindwa  kuliweka tena ha!ha!ha! ila ni kwa habari ya Agano/ nadhili yaani unapoweka agano mbele za Mungu kwa ajili ya jambo fulani, au unapotamka Neno fulani mbele za Mungu huwa linakuwa lina nguvu sana kwenye ulimwengu wa roho..........   nimetokea kwa Ibrahimu alivyomuahidi Mungu mtoto atakae mpa atamrudishia na kwa namna ambavyo Ibrahimu alipotaka kutimiza ahadi..........


 Haya basi mkajisomee yawezekana natakiwa kutoa muongozo tuu then watu mkafunuliwe huko na kama nimeandaliwa kuyazungumzia humu basi Bwana atafanya njia yakunikalisha chini kuleta gazeti ha!ha!ha!ha!

Haya Pata Muonekano.........

Jamani hizi nywele niliweka purple na kuzinyausha sikutegemea rangi itakayotoka aisee nimeipendaje??? sema nywele ndefu sana hazikai vizuri sijajielewa kama nataka kuzifuga au nipunguze ha!ha!ha!




Nawapenda

1 comments:

  1. Nimekupata mamy wacha nikasome kwanza hayo mafungu ya biblia kuhusu nywele inabidi upunguze mana style hii inakupendeza sana

    ReplyDelete