Pages

Ads 468x60px

Tuesday, January 20, 2015

HABARI YA MUJINI.................

Kwa mtonyo huu, lile swali la Mama wawili kiatu,sijui ni nani , haya sasa tumemaliza kihivyo yaani.................MIMA HUB ndo kijiwe chetu chakujidai .......... Utakutana na kina ALDO,NINE WEST,ZARA,STEVE MADDEN,CHARLES & KEITH,MICHAEL ANTONIO na wengineo .............. Nimefanya kukuonjesha tuu............fanya kukatiza basi  mitaa ya MIKOCHENI OPPOSITE NA MAZNAT BRIDAL SALON.  halafu unajua nini ???usishangae ukakutana na sura ya Mama wawili  moja ya siku Ha!ha!ha!ha!   


























TUNAKUPENDA MTEJA  WETU KARIBU...........

2 comments: