Pages

Ads 468x60px

Tuesday, January 27, 2015

TEAM FITNESS..................


Haya mwenzenu nimerudi tena huku ki!ki!ki!ki! Ee bwana, hii kitu ukianza unabidi uwe unaendelea hata km mdogo mdogo ukizima kabisa ukirudi mwili unaumaaaa............... yaani mpaka siku ya pili hata kijiko kizito nakwambia ........Sijui ni mimi tuu au wote duuu!!

 mmeona nilivyomshamba wakujiselfie hi!hi!hi!

nimefunika sura picha zooote...........@ ushamba mzigo

Duu ila ukiingia humo ndani watu wanavyojituma mpaka raha yaani......

utajikuta tuu na wewe  uko busy km mnashindana ha1ha!ha!


yaani huu mwaka nimesema sikubali @list once a week lazima nijifit........potezea ile mikakati sijui nini na nini Imegoma aiseee!! yataka moyo na muda sasa  duu!!!mimi mkinga nawaza mabox mda wote kwa kweli imekuwa ngumu mnooo...... mdogo mdogo kiafya ndo mpango

Nawapenda

No comments:

Post a Comment