Pages

Ads 468x60px

Tuesday, January 6, 2015

LA FAMILY................

Haya ndugu zangu habar mpya ni kwamba siku hizi naweza weza kucheza kwenye maji japo kuwa vikombe bado navimeza mnooo..........  Sasa kale kavazi kamtatindio wapendwa  nikiingia tuu kwenye maji mara kamenifunga miguu, mara kamepanda juu namwaga radhi  kwa ujumla hakafai kuingia nako kwenye maji ....... .......... (mwe nnavyojitea sasa kha!!! ha!ha!ha!)   Anyway dizaini hii ndo utanikuta nayo kama nimeamua kuingia kwenye maji....................

 Sasa basi Hawa penda maji wangu  wanapenda sana kubadilisha  viwanja vyakuogelea  swimming pool yao home naona imeota miiba, mara ooh!! twende kule ndo kuna vitu vingi, mara ooh!! nyumbani kunatuboa ha!ha!ha! haya basi ndo hivyo wakanibeba na mtu mzima Maskini naushamba wangu hata sijui sheria  zipoje??????

 legoooooo...... Kikazi zaidi 

Jamani wanangu huwa wanaenjoy wakimuona na Mama anaingia kwenye maji duuu!!! 

 Haya sasa  ndo tushatoka humo ndani kuogelea , kwanza marufuku kuonekana unachukua matukio hilo huwa nalijua.................  haya niulizeni mbona mimi mkavu wenzangu sura zao zinatetemeka na baridi????? EE Bwana sinimeambiwa siruhusiwi  kuogelewa na hiyo top sio yakuogelea........... hiyo ndo sheria yao ha!ha!ha! material yake hayaruhusiwi basi sasa ikabidi niwe msindikizaji..............




 Namapicha tukapiga

Tunawapendeni mnooooo..........

1 comments: