Pages

Ads 468x60px

Thursday, January 22, 2015

THE LOOK.........

Aisee sijawahi kuwaza kama ni mpenzi wa pink, leo nimeanza kuangalia nguo aisee pink imetawala mnoo..... hivi unaweza ukawa mpenzi wa kitu bila wewe kujijua???Ha!ha!ha!ha! i think am official pink lady ki!ki!ki!ki! 



Duu jamani maombi yenu wandugu, dizaini nimeanza kuwaza kuvaa hivi monday to friday............ nikimaanisha no jezi za kuosha magari,mtoto kucha hazibanduki ni full kiyoyozi, nafanya kuita tuu ha!ha!ha!.............kwani siimeandikwa NITAKUINUA KIWANGO KIMOJA KWENDA KINGINE???  vipi sasa kwa nini tunaridhika??? kwa mfano, hivi haiwezekani nikawa na maproject kadhaa yaani mi kazi yangu kupitia tuu nakuchukua mahela????Tuache akili mgando ndugu zangu inawezekana??? narudia tena  Vitu kama hivi havisubiri muujiza vinahitaji utayari wa mtu............... tunajiwekea mipaka sana  ndugu zanguni....


Kumbuka una mamlaka na ndoto unayoota labda kuileta kwenye uhalisia au kuipoteza kabisa kwenye ulimwengu wako.


 UNA NDOTO GANI??



YANGU NI KUMILIKI,YANGU NIKUONGOZEKA,YANGU KUKATAA HISTORIA MAANA NIMEFANYIKA KUWA KIUMBE KIPYA, YANGU NIKUTIMIZA KUSUDI LILOWEKWA MBELE YANGU, MAANA HAKUNA SILAHA ITAKAYOINUKA KINYUME NA NENO LA MUNGU,..............................,......................,.....................,


INAWEZEKANA NA NITASHINDA HAIJALISHI SHETANI AMEJIPANGAJE MAANA NILIYENAYE AMEUSHINDA ULIMWENGU.

Nawapenda

4 comments:

  1. hongera sana. napenda unavojiamini na always una mawazo chanya.

    ReplyDelete
  2. Kwakweli umependeza sana na maneneo hayo yamenitia moyo sana! Ubarikiwe mamii

    ReplyDelete
  3. PENDA WWE






    Penda wewe sana mpendwa umependeza hilo pozi la mwisho linanifurahisha





    ReplyDelete