Pages

Ads 468x60px

Sunday, January 4, 2015

THE LOOK...........


Nyie bwana sikilizeni, Mwenzenu sinikajifanya kubadilisha nywele hizo rangi!!!!! duuu niling'aje sasa???? nikaanza kujiona kama dancer wa Pepe kale(wazee wenzangu mtanielewa watoto wa K  sio rahisi kunielewa hapa Ha!Ha!ha!) anyway!!! ushamba mzigo duu!!  yakanishinda bwana, duu!!nikaanza kurushia rangi nyeusi  kufunika makali kidogo............ na hapa ndo nikaridhika ngoja kwanza nizoee hizo rangi mbili  then kuna siku ntajilipua ha!ha!ha!ha!

Eti Nke ya nani huyu????

 Baba wawili alizipitisha lakini duu sometimes kujiongeza mwenyewe kwenye kioo khaaa!!!

 habari njema ni hii am now 49.8kg........ ....  0.2 more kutoka kwenye danger zone.
Mama wawili



Spotted!!!



Unahisi nilikuwa na dance nini kwa mfano??? NDILIMGATI MWA YESU NDIKWINOMA, NDIKWINOMA..... NA YUVEVE WINGILE WINOME WINOME ( only in Iringa ha!ha!ha!ha!)

haya nawewe sijakutenga ni  maana yake......

NIPO NDANI YA YESU NINA RAHA NINA RAHA ....... NA WEWE MWENZANGU UJEGE BASI UFAIDI HII RAHA ha!ha!ha!ha!

 Love you wadau

1 comments:

  1. Umependeza sana natamani nami nipunguze nywele niweke dreds kama hizo ila sijui nini kinazuia yani roho iko sitaki nataka!

    ReplyDelete