Pages

Ads 468x60px

Wednesday, September 3, 2014

MAMA WAWILI

Jamani picha za leo nimewashirikisha tuu lakini ni special kwa mwanangu mie..........Nimemuita haya njoo umpige mumy picha, sasa hilo dori ndo limeingia nyumbani mwetu ni sheeeder!!!! ili usikilizwe lazima hilo dori ulitambue uwepo wake. Huyo kaja  na masharti km unataka nikupige picha unatakiwa upige nae........ Mama mtu huyo nikajua ntapiga nae mbili tatu kumridhisha then ntaendelea na yangu....... duu asikwambie mtu tulianza michezo hapo, nakufundishwa mapozi mwisho wa siku nikasahau lengo!!!! 

mtu mzima akionyesha pengo ujue ameshindwa kabisa kuizuia furaha aliyo nayo eti????

nikaambiwa nimrushe rushe ili acheke.......

nikaambiwa just pretend she is crying........................(in Her voice)


Swali nililopigwa hapa mmmh!!!!!ushawahi pigwa swali la namna fulani watoto wanapatikanaje halafu hutaki ajue kwa sasa na pia hupendi kumdanganya  halafu kiinglish cha kihehe ni majangazi...............wakati huo km tayari ana idea fulani kutoka mashuleni mweeeee!!! usiombe ukukute huo wakati aiseee!!!

Mwanangu mie kweli alinipa rahaaaaaa.......

2 comments:

  1. umependeza sana my dear haswa mpangilio wa rangi nimeupenda

    ReplyDelete
  2. sasa mama wawili waongezee kaka yao mambo ya kubeba toy tena ni shiiiiida

    ReplyDelete