Pages

Ads 468x60px

Monday, September 22, 2014

GUESS WHAT?????

SHE IS 6YRS OLD...................

SIFA NA UTUKUFU ZIMRUDIE YEYE ALIYE KWELI NA AMINA, ANAYEZIANGALIA AHADI ZAKE ILI APATE KUZITIMIZA,ALIYESEMA HATANIACHA WALA KUNIPUNGUKIA........ NIMEMUONA KWA NAMNA YA AJABU, NIMESHUHUDIA MPAKA WAKATI MWINGINE SIJIAMINI, SIO KWAMBA SIMUAMINI YEYE BALI NI VILE NINAVYOJICHUNGUZA NAKUTAFAKARI UPENDELEO HUU ALIYONIPA!!!!!!!! KIUKWELI SIKUSTAHILI!!!

 YAWEZEKANA USINIELEWE, MIMI NDIO NINAYEJIELEWA KAMA SI NEEMA YA UKOMBOZI YAWEZEKANA MAMA WAWILI UNAEMUONA LEO INGEKUWA HABARI NYINGINI..............

AHSANTE MUNGU,BABA WA MABABA,MFALME WA WAFALME,SIMBA WA YUDA HAKUNA KAMA WEWE NA HATATOKEA DUNIA KOOTE.

halafu nyie eti siniliwambia mwenzenu nimeacha kulia lia bila sababu ila kwenye hili eneo sijaelewa bado yaani nikianza kutafakari kwa habari ya kitu changu binafsi  labda tuseme mtihani wa maisha niliofaulu,ndoa na mara nyingine nikawaangalia wanangu wenyewe wanasmile labda badala yakurudisha ile smile machozi yanaanza kunitoka,  yaani tuvitu tuuu na asilimia kubwa naweza kusema 100% yote ni vitu ambavyo na takiwa kufurahi. ninaposhindwa kabisa nikimalizia ahsante Mungu weee!!!!

imenitokea hata leo asubuhi nimeamka kwa furaha nije nidoborishe mwenzenu nimekuza nini na nini kama Mama yoyote yule Duuu!!! yaani hayo maandishi hapo juu niliyoandika imebidi nizabe kibao kwanza(joke) nitulize akili ndo nijipange kwa utulivu hata hivyo nilivyofika hapo kati nimejikuta tena nimeanza anyway..................

HAPPY BIRTHDAY  TOTO YA MIMI
Nimekapa maneno yake leo katajijua mi naamini sikio limesikia, akili itamkumbusha tuu huko mbeleni na Neema ya Bwana itamtangulia..................
Kaone kwanza hiyo shughuli mpaka kametulia hapo mkononi ni balaa!!! nimekambia kunyanyuliwa na Mama yake kwake iwe old fashion duu!!  na kwa taarifa nilizonazo kutoka kwa mwalimu wake yeye ndo tallest wa darasa na wa pili kwa uzito...... usishangae Mama yake hana mwili dogo kashajisevia mapema......

 Lets see Baba,Mama na Cristabell wamekuandalia nini Toto zuriiiiii..........


5 comments:

  1. happy birthday dear Cristabell...may God bless you to become a very intelligent and beautiful lady!

    ReplyDelete
  2. Hongera dear kwa kukuza I truly admire your family. May God bless you!

    ReplyDelete
  3. Happy birthday mtoto mzuri. Mungu akupe maisha marefu yenye mafanikio tele

    ReplyDelete
  4. Hongera mama wawili kwa kukuza , ni Neema ya mungu inayotutoa kutoka sehemu moja kwenda nyingine , hasa neno la mungu likiwa ndani yako, hofu ya mungu na uwepo wake katika maisha haya ya kilasiku, ahimidiwe yeye aliyeziumba mbingu na nchi andelee kumkuza mwanao vyema, Happy birthday dada ake na christabell

    ReplyDelete
  5. u inspired me a lot kulijua neno la mungu , kwa kweli naona utofauti kwangu binafsi kwa mambo ya rohoni mwangu naamini na kwa mambo mengine ataendelea kunipigania, as i can see changes in person. ubarikiwe mama wawili, endelea kutupa jumbe hizi zilizo njema, kwani huwa najifunza kitu.

    ReplyDelete