Pages

Ads 468x60px

Saturday, October 5, 2013

MPANGO NI KUTENGENEZA NA...................


Goma jingine hili nimeona nisilipite kimya kimya bila kushare .............. MPANGO NI KUTENGENEZA NA MUNGU!!!!!
We unashida zako wenzako wanaenda kushangaa mpira ulaya na wengine wako bize na segele kwi! kwi!kwi!..........Hapo chacha !!!!





jumapili hiyoooo msisahau  kwenda kutengeneza............. ndio mpango kabla ya yooooote........

wanadamu wanamipaka yaoooo,  weka tumaini lako kwa Yeye aliyeushinda ulimwengu..........

No comments:

Post a Comment