Pages

Ads 468x60px

Wednesday, October 16, 2013

HAPPY BIRTHDAY TO MY .........................



FRIEND,DADA, SHOGA YANGU,...................................

Siku yangu ilikuwa kupiga deshi humu ndani maana nimechokaaaa++ ubusy duu!!!!  ila kwa ajili ya mrembo huyu nimeshindwa kuvumilia bila kumu wish humu ndani............

Mrembo katika watu ambao hasa kwenye mambo kiurafiki na mishe mishe za maisha na wamiss best yaani your one of the top................ nashindwa tuu kumwaga mchele kwenye kuku wengi bila shaka unanipata......... namuoneaje wivu sasa alichukua nafasi yangu........

Mungu akubariki na kukutetea, akulinde na kukutimizia haja za moyo wako zaidi akakupe furaha amani na upendo kama ulivyo jina lako......... my dear you dont fake you are real you, mimi penda wewe sana tuu....... ( nimekumbuka chochoro za ngome,mwembetogwa nikamalizia kariakoo mweee nimechekaje sasaaa.........)HAPPY BIRTHDAY !!!!

No comments:

Post a Comment