Pages

Ads 468x60px

Monday, May 28, 2012

HONGERA ERICK & JOYCE

Erick ni mtangazaji wa PRAISE POWER RADIO.  nimemfaham kupitia kipindi cha kesha na praise power.............aaaaaawwwww!!!! yaani humu ni kuharibu, kubomoa, kuvunja taratibu na uharibifu wote wa muovu zaidi ni kupanda,kumiliki kufarijiana, shuhuda za matendo makuu ya BWANA.....kama uko bongo sikiliza  FM 99.2 utanielewa naongelea nini hapa hasa wale wa pande hii........


hongera sana JOYCE  ni mrembo sana


George hahahaaaa nakuaminia pande hizo

pendeza sana VERO wapi Sarafina?????
blogger JIMMY
LISTER kwa mbari miss you kamanda
people
ROSE

PICHA THANKS RUMAFRICA

No comments:

Post a Comment