Pages

Ads 468x60px

Saturday, May 12, 2012

Haya wapenzi wangu mnisamehe sana,  nilikuwa busy sana kupita maelezo kwa wale wabeba mabox wenzangu mnanielewa hasa ukiwa unahama nyumba huku shift  zinakusubiri, hujakabidhi nyumba inatakiwa kufanyiwa usafi then unakoamia bado hakueleweki, mapacha wangu nao vurugu haziishi, kazi za nyumbani ndo usiseme...................Piga picha! lazima utanielewa hapo

Vinginevyo  nipo pouaaa kabisa. Naipendaje my new house!!!!

No comments:

Post a Comment